FUATA
NDOTO ZAKO
Ndoto huwa kweli, ukiamua kuzifuata Jifunze Mkakati wa Mauzo
JUHUDI ZAKO ZINASTAHILI PONGEZI TUNAWATAMBUA WAPAMBANAJI WANAOSAIDIA WENGINE KUSTAWI Kata Tiketi JENGA BIASHARA ITAKAYOKUJENGA MATOKEO MAKUBWA YANAHITAJI UWE MTU BORA KWANZA

🔗  Share Video Hii

Hii ni ngazi ya ukuaji wako katika biashara, fuatilia mtiririko wa hatua hizi moja baada ya nyingine. Ukizielewa na kuzizingatia hizi tutakuona juu!
Ukitaka kuuza kwa mafanikio, lazima uielewe na kuipenda bidhaa yako kwanza – na Mafunzo ya Bidhaa yanakupa msingi huo wa ushindi!
Imani, Motisha na Kazi huleta matokeo na matokeo ndio jina la mchezo. Angalia Matokeo. Fuatilia hadithi hizi kila zinapowekwa ili zikujenge.

PROGRAMU ZA MAFUNZO YA MAUZO

ANGALIA ZOTE

SALES TRAINING (MAUZO)

Maarifa, mbinu na ujuzi wa kitaalam unaohitajika kuongeza kiwango cha mauzo kwa ufanisi zaidi.

JIFUNZE HAPA

MAFUNZO YA BIDHAA

Fahamu kila bidhaa, changamoto zinazotatua, matumizi yake na namna ya kumuelekeza mteja.

MTIRIRIKO WA MASOMO

TEAM BUILDING (UONGOZI)

Stadi zitakazokupa kujenge timu kubwa yenye ushindani wa kweli kwenye biashara.

JIFUNZE HAPA

MAENDELEO BINAFSI

Maono (Vision), Mahusiano, Motisha, Utu Imara n.k. Jifune kutoka kwa walimu wabobevu katika eneo hili.

Learn more

SOCIAL MEDIA TRAINING

Mbinu bora za kutumia mitandao ya kijamii ili kujenga timu na kuongeza mauzo. Kukuza biashara kwa njia ya kidigitali.

JIFUNZE HAPA

Kuzingatia Mafunzo, Kusikiliza Viongozi, Kujenga Timu Yenye Ndoto, Huongeza Ufanisi wa Uongozi Wako na Mauzo kwa Uendelevu.

KWANINI BF SUMA?

BIASHARA ISIYOBAGUA 

Tangu mwaka 2006, watu wamekuwa wakijengewa stadi za mauzo na uongozi zilizowafanikisha. Ni biashara pekee ambayo hata mtu wa kipato cha chini anaweza kuianza na kufanikiwa. Hakuna kulipa kodi, pango, hakuna gharama za kulipia wafanyakazi. Biashara kubwa, mtaji mdogo sana.

MPANGO MASOKO UNAOTEKELEZEKA

Zaidi, mfumo wa malipo umeundwa katika mtindo ambao ni halisi katika muktadha uliopo. Hii inathibitika kupitia malipo ya bonus na tuzo mbalimbali kama safari, magari na nyumba vinavyotolewa kila mwaka.

BIDHAA ZENYE MATOKEO

Mfumo wa usambazaji wa bidhaa na bidhaa zinazosambazwa vinaakisi ubora. Ni nidhaa zenye matokeo ya haraka na zenye kuzingatia ufyonzaji bora wa miti, mimea na matunda. 

HADITHI ZA MAFANIKIO

nyota zinazong’ara kwa bidii isiyoisha