Kuhusu BF SUMA

Bright Future Unique Manufacturers of America

Kampuni yenye makao yake makuu huko Los Angeles, Marekani, mtayarishaji na mtengenezaji anayeongoza duniani wa bidhaa za virutubisho tiba. Bidhaa za ubora wa juu za asili za mitishamba na teknolojia ya kisasa.

Kampuni hii ilikuwa inazalisha dawa zenye kemikali na hasa za mifupa na maungio lakini bado watu walikuwa wanaendeleo kuugua hayo magonjwa na mengi yakiwa sio ya maambukizi. Baada ya tafiti mbalimbali zilizofanyika iligunduliwa kwamba binadamu wengi wamecha tabia ya kula chakula kama dawa badala yake wanakula dawa kama chakula kwahivyo ikapelekea ongezeko la magonjwa. Ndipo kampuni hii ikaamua kuchukua vyakula vile vile, virutubishi vikafyonzwa na kuwekwa kwenye mfumo wa vidonge, tembe na vimiminika, vinapotumika vinakuwa sawa na mtuanayekula vyakula vya kawaida. Sio dawa ni virutubishi lishe vinavyoenda kupamba
na magonjwa mbalimbali.

HISTORIA YA KAMPUNI

BF SUMA ni hazina ya afya duniani! Ilizaliwa kutoka kwenye utafiti wa hali ya juu mjini Los Angeles mwaka 2006, na leo ni chimbuko la bidhaa za miujiza zinazobadilisha maisha. Kuanzia Amerika hadi Afrika, BF SUMA inaleta mapinduzi ya afya, ikiongoza kizazi kipya cha watu wenye nguvu, akili, na mafanikio makubwa!

0
Bright Future Pharmaceutical Laboratory Limited ilianzishwa
0
uwekezaji mkubwa ulifanywa Los Angeles-USA na kuanzisha kampuni ya BF SUMA
0
Kampuni ya BF SUMA ilianza Africa
0 years
Bf suma ikafungua kituo cha uvumbuzi kwenye mji wa Newyork Marekani

Kwanini BF SUMA?

  • Ubora wa Bidhaa: Inatumia teknolojia ya kisasa ya Marekani kutengeneza virutubisho vyenye viwango vya kimataifa.
  • Uthibitisho wa Kimataifa: Bidhaa zimeidhinishwa na mashirika makubwa ya afya (GMP, FDA approvals).
  • Utafiti wa Kisayansi: Kila bidhaa inatokana na utafiti wa kina wa kisayansi na tafiti za muda mrefu.
  • Mfumo Thabiti wa Biashara: Mfumo wa mauzo ya mtandao (network marketing) unaowezesha maendeleo ya kifedha ya haraka na endelevu.
  • Mafunzo Bora: Inatoa mafunzo ya mara kwa mara ya ujasiriamali na afya kwa wanachama.
  • Motisha na Zawadi: Inatoa motisha kubwa kama safari za kimataifa, magari, na zawadi za kifedha.

“Bringing Health and Wealth to People Worldwide.”

Hii ina maana kwamba BF SUMA imejitolea kuboresha maisha ya watu kwa kutoa bidhaa bora za afya na kutoa fursa za maendeleo ya kifedha kupitia mfumo wake wa biashara.

“To become a world-leading brand in health supplements and direct selling.”

BF SUMA inalenga kutambulika kimataifa kama kiongozi wa kuaminika katika kutoa suluhisho bora za afya asilia na kuwawezesha watu kujenga biashara zao kupitia mauzo ya moja kwa moja.

  • Uadilifu: Kufanya biashara kwa uaminifu na uwazi.

  • Ubunifu: Kuweka juhudi za kila mara katika kuboresha bidhaa na huduma kupitia mawazo mapya na teknolojia.

  • Utaalamu: Kudumisha viwango vya juu vya huduma na utendaji.

  • Kujitolea: Kujikita katika kusaidia mafanikio ya wateja na wasambazaji.

  • Ushirikiano wa Kushinda Wote: Kujenga ushirikiano ambapo kila upande unafaidika.