Hizi hapa baadhi ya tuzo za BF SUMA

BF SUMA inatoa motisha nyingi kwa wasambazaji wake kama sehemu ya kutambua juhudi na mafanikio yao katika biashara. Hizi tuzo zinalenga kuwahamasisha washiriki kufanya kazi kwa bidii zaidi na kufikia malengo yao binafsi na ya timu:

Safari za Kimataifa Na Mabara 🌍

Wasambazaji wanaofikia viwango maalum hutuzwa safari za bure kwenda nchi mbalimbali duniani, kama vile: Marekani, Uchina, Dubai, Afrika Kusini, Thailand n.k 
(Zaidi ya safari ni za kiwango cha kifahari, ikiwa ni pamoja na malazi bora na matembezi ya kipekee.)

Tuzo za Magari

BF SUMA inawazawadia wanachama wake magari mapya ya kifahari, kama zawadi ya kutambua juhudi zao za kujenga timu kubwa na mauzo makubwa. Kuna magari mawili yanayotolewa kila mwaka kwa waliokidhi
vigezo. Gari la kwanza lina thamani ya shilingi millioni ishirini na nane
laki saba na hamsini elfu za Kitanzania (TZS 28,750,000/=)
Gari la pili lina thamani ya shilingi Milioni Hamsi za
Kitanzania (TZS 57,500,000/=)

Nyumba (Villa Fund)

– Pindi Ufikapo level ya Senior Crown Leader Kampuni itakufungulia account maalum kwa ajili ya Nyumba
– Utakuwa ukikatwa 1% ya Bonus yako kila mwezi ili iwekwe kwenye hiyo account
– Kwa makusanyo ya Miaka mitatu Kampuni
itakujengea nyumba ya 350,000,000/= mahali utakapo chagua wewe