Hadithi ya Lulu Kulewa: Safari ya Mwanamke Shujaa
Naitwa Lulu Kulewa, mke na mama wa watoto wawili. Hii ni hadithi ya kweli ya maisha yangu โ jinsi nilivyotoka kwenye mazingira ya kawaida hadi kuwa mwanamke mwenye uhuru wa kifedha, muda, na mafanikio kupitia biashara ya BF SUMA.
๐ฑ Kabla ya BF SUMA
Kabla sijaifahamu BF SUMA, maisha yangu yalikuwa ya kutafuta. Niliwahi kuajiriwa, nililima, nikafanya biashara mbalimbali โ hata kufungua genge la kuuza mboga. Lengo langu lilikuwa moja: kutopenda kuwa tegemezi.
Nilikuwa sipendi kabisa kuomba pesa ya matumizi binafsi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kutafuta ajira mara moja ili niwe na kipato changu mwenyewe. Lakini ajira nayo haikuwa rahisiโฆ
Ili kufika kazini saa 2 asubuhi, nililazimika kuamka saa 11 alfajiri. Ukichelewa dakika 5 tu, unakutana na warning letter au barua ya vitisho kupitia e-mail. Saa 11 jioni unatoka kazini, lakini kufika nyumbani ni saa 2 usiku. Unakutana na maswali ya mume: โMbona umechelewa?โ โ Huna amani kazini, huna amani nyumbani.
๐ก Mwanzo Mpya na BF SUMA
Mwaka 2018, maisha yangu yalianza kubadilika. Nilikutana na Aminata Khatimba, jirani yangu katika apartments tulizopanga. Baada ya muda, alinifungulia milango ya fursa ya BF SUMA. Bila kusita, niliamua kujiunga.
โจ Mabadiliko Makubwa ya Maisha
1๏ธโฃ Uhuru wa Kipato
Leo hii, naweza kuingiza hadi milioni 38 kwa mwaka kupitia BF SUMA. Si tu napata, bali nimejifunza kusevu na kupanga malengo. Kabla ya hapo, mshahara haukuwa unatosha hata kuweka akiba. Sasa naweza kutimiza ndoto zangu โ ikiwemo kusafiri nje ya nchi kila mwaka:
- ๐ฆ๐ช Safari yangu ya kwanza: Dubai (2022)
- ๐ฟ๐ฆ Safari ya pili: Cape Town, South Africa (2023)
- ๐ Safari ijayo (2025): Nchi nyingine mpya
2๏ธโฃ Uhuru wa Muda
Nina muda wa kutosha kuwa mama bora, kutimiza majukumu ya familia, na bado nafanya biashara yenye kipato kikubwa. Siombi tena pesa, siishi kwa masharti. Ninaweza kumudu mahitaji yangu makubwa na madogo kwa uhuru.
3๏ธโฃ Uhuru wa Usafiri
Kupitia BF SUMA, nimenunua magari matatu:
- IST
- RAUM
- BMW (ya thamani ya milioni 17)
Ndoto yangu ya kuwa na gari langu mwenyewe imetimia โ na sasa sihangaiki tena na usafiri.
๐ฎ Maono ya 2030
Baada ya miaka 5, ninaiona Lulu mpya. Nitajikuta naingiza milioni 20+ kwa mwezi, na ndoto zangu mbili kuu zitakua zimefikia kilele:
- Kufungua restaurant kubwa ya chakula cha aina maalum, maana kupika ni passion yangu kubwa.
- Kukamilisha nyumba yangu ya thamani ya milioni 150+
Zaidi ya hayo, nitagusa maisha ya watu wengi kwa njia chanya โ kiuchumi na kiinspiration.
Hii ndiyo safari yangu. Hii ndiyo hadithi ya Lulu Kulewa.
Kutoka kuwa mwanamke wa kawaida hadi kuwa mfano wa mwanamke aliyeamua kujisimamia, na sasa anaishi maisha ya ndoto zake.
“Ukikataa kuwa tegemezi na ukaamua kuchukua hatua, hakuna kinachoshindikana.”