25 Apr 2025
Ushindi hauji kwa bahati – unaletwa na bidii, maono makubwa na moyo wa kujitoa kwa dhati. Na hakuna mahali ambapo haya yanaonekana wazi kama kwenye Arise & Shine Awards 2025, tukio linalowaka moto kuwatuza mashujaa wa kweli wa biashara!
Mnamo tarehe 25 Mei 2025, kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 12 jioni, Ubungo Plaza Conference Center itageuka kuwa jukwaa la heshima, shukrani na shang...