12 Mar 2025

Karibu kwenye familia ya ushindi – The Game Changers. Mimi ni Harry Mwijage, Chief Visionary Officer (C.V.O) wa timu hii ya kipekee.Nimejitoa kwa moyo wote kuongoza harakati hii ya kuandika historia mpya kwenye biashara ya mtandao hapa Tanzania na hata nje ya mipaka yetu. Dira yetu ni moja – Kujenga Viongozi Imara na Mamilionea wa Baadaye!Tunaamini kuwa mafanikio si bahati; mafanikio ni ...

05 Jan 2025

Katika hatua kubwa ya kuimarisha huduma na kuleta bidhaa karibu zaidi na wajasiriamali na wateja, Game Changers imezindua rasmi subshops katika mikoa mitano mikubwa nchini Tanzania – Dodoma, Arusha,  Zanzibar, na Njombe, chini ya duka la Dar es Salaam,. Subshops hizi ni sehemu ya mpango maalum wa kuongeza upatikanaji wa bidhaa bora za afya na lishe, na kutoa msaada wa karibu zaidi kwa di...

15 Jun 2024

Katika dunia ya leo inayobadilika kwa kasi, kuna njia nyingi za kujenga maisha bora – lakini chache zina nguvu kama Network Marketing. Hii siyo biashara ya kawaida; ni mfumo wa kifahari wa kusaidia watu kugeuza ndoto kuwa ukweli wa kifedha na wa maisha. Lakini kwa nini Network Marketing inaitwa “njia ya kifahari” ya kufikia uhuru wa kifedha? 1. Unamiliki Maisha Yako Katika network marke...

13 Apr 2020

Katika safari ya mafanikio ya biashara yoyote, kuna mambo matatu ambayo hayawezi kupuuzwa: maono (vision), malengo (goals), na uthubutu au azma (determination). Haya ni msingi imara wa kuijenga biashara inayokua na kudumu kwa muda mrefu. Hebu tuchambue kila moja na namna yanavyoweza kusaidia kukuza biashara yako. 1. Maono (Vision) Maono ni picha ya mbele ya kile unachotamani biashara ya...