12 Mar 2025
Karibu kwenye familia ya ushindi – The Game Changers.
Mimi ni Harry Mwijage, Chief Visionary Officer (C.V.O) wa timu hii ya kipekee.Nimejitoa kwa moyo wote kuongoza harakati hii ya kuandika historia mpya kwenye biashara ya mtandao hapa Tanzania na hata nje ya mipaka yetu.
Dira yetu ni moja – Kujenga Viongozi Imara na Mamilionea wa Baadaye!Tunaamini kuwa mafanikio si bahati; mafanikio ni ...