Kuhusu BF SUMA
Bright Future Unique Manufacturers of America
Kampuni yenye makao yake makuu huko Los Angeles, Marekani, mtayarishaji na mtengenezaji anayeongoza duniani wa bidhaa za virutubisho tiba. Bidhaa za ubora wa juu za asili za mitishamba na teknolojia ya kisasa.
Kampuni hii ilikuwa inazalisha dawa zenye kemikali na hasa za mifupa na maungio lakini bado watu walikuwa wanaendeleo kuugua hayo magonjwa na mengi yakiwa sio ya maambukizi. Baada ya tafiti mbalimbali zilizofanyika iligunduliwa kwamba binadamu wengi wamecha tabia ya kula chakula kama dawa badala yake wanakula dawa kama chakula kwahivyo ikapelekea ongezeko la magonjwa. Ndipo kampuni hii ikaamua kuchukua vyakula vile vile, virutubishi vikafyonzwa na kuwekwa kwenye mfumo wa vidonge, tembe na vimiminika, vinapotumika vinakuwa sawa na mtuanayekula vyakula vya kawaida. Sio dawa ni virutubishi lishe vinavyoenda kupamba
na magonjwa mbalimbali.