ANASIMULIA:

Kwa majina naitwa Irene Mmary.

Kabla sijajiunga na kampuni ya BF Suma, nilikua mwanafunzi wa kidato cha sita, lakini ndani ya moyo wangu nilikua nimebeba ndoto kubwa – kuwa mfanyabiashara mkubwa. Nilijua kabisa kwamba elimu ni silaha muhimu ya kufanya biashara kwa weledi na kuelewa mazingira ya uchumi kwa undani.

Mwaka 2019, baada ya kumaliza kidato cha sita na kabla ya kujiunga na chuo kikuu, nilikutana na fursa ya kipekee kupitia kwa mwalimu wangu Hamza Buchu. Alinishirikisha kuhusu biashara ya BF Suma. Kwa sababu tayari nilikua napenda biashara, sikuona sababu ya kusubiri – nikaanza mara moja.

Kuna mambo mawili makubwa niliyokua siyapendi kabisa kipindi nasoma:

  1. Kuajiriwa – kwa sababu nilihisi ajira ni utumwa wa muda mrefu.
  2. Kuwa tegemezi – naamini katika uwezo wangu, na sipendi kumtegemea mtu.

Nilichagua kujiamini na kuanza kujenga misingi ya ndoto zangu mapema kupitia BF Suma. Tangu hapo, maisha yangu yamebadilika kwa kiwango kikubwa sana.

Mambo Matatu Makubwa Niliyoyapata Kupitia BF Suma πŸ‘‡πŸ‘‡

βœ… Kusafiri Nje ya Nchi Kila Mwaka – Kupitia kampuni hii, nimekuwa na nafasi ya kutembelea mataifa mbalimbali kila mwaka, nikijifunza na kufurahia matunda ya bidii yangu.

βœ… Kumiliki Gari la Kifahari – Nimefanikiwa kununua Nissan X-Trail New Model yenye thamani ya milioni 26, jambo ambalo kwa miaka michache nyuma lilionekana kama ndoto tu. Pia, nimekuwa mnufaika wa kwanza wa platform ya β€œGraduate with Plan B” chini ya timu ya Game Changers kupitia BF Suma.

βœ… Kipato Endelevu – Leo hii nina uhakika wa kupata bonasi ya milioni 2 kila mwezi bila mashaka. Kipato changu si cha kubahatisha, bali ni matokeo ya kujituma kwa akili na bidii.


Ndoto za Miaka 5 Ijayo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

🌟 Kumiliki Gari ya Ndoto Yangu – Range Rover yenye jina langu, yenye thamani ya milioni 200.
🌟 Kuingiza Milioni 30 kwa Mwezi – Kwa ujasiri na mipango ya kazi thabiti, hili litawezekana kupitia mfumo wa BF Suma.
🌟 Kufungua Kituo cha Kusaidia Wenye Uhitaji – Nitafungua kituo kikubwa cha kuwahudumia watoto yatima na watu wasiojiweza. Kitatoa huduma ya malazi, mavazi na msaada mwingine wa kijamii bila malipo.


BF Suma haikunipa tu pesa – imenipa jukwaa la kutimiza ndoto zangu, kujitegemea, na kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

πŸ’ͺ Kama Irene aliweza – na wewe unaweza!
#GameChangersTeam #BFSuccessStory #JitambueJiinue #GraduateWithPlanB